Videos
Chin Bees aachia video ya ngoma mpya aliyofanya na Oda Paccy wa Rwanda
Msanii kutoka Wanene Entertainment, Chin Bees ameachia wimbo wake mpya ‘Sweet Love’ ambao wameshirikiana na mrembo Oda Paccy kutoka Rwanda. Video imeongozwa na director Destro.
https://youtu.be/Gm_njsI72ic