Burudani

Chin Bees ashangaa kupewa credit kwenye albamu ya Navy Kenzo

Msanii wa Bongo Chin Bees ameeleza kushangazwa na kitendo cha kundi la Navy Kenzo kumpa credit katika albamu yao ‘AIM’ bila kumtaarifu.

“Ni mambo ambayo nayaongea every day, every time, so Chin Bees anaonekana too much talkative lakini inabidi niwe naongea coz it real na ukweli huwaga unaumiza, so kitu cha ukweli kikinisumbua huwa napenda kuongea na nikiona kitu kipo different on my way na hicho kitu kinanihusu mimi I will talk because its mine,” ameiambia The Playlist ya Times Fm na kuendelea.

“Kwa sababu tukizungumza wameniandika kwenye albamu yao pale nje for what, hawakuwahi kunipigia kuniambia mwanangu tumekuweka kwenye albamu. Credit for what wakati nilikuwa nahitaji credt kwenye Kamatia Chini ambayo ipo kwenye albamu, so why you write there, you write coz kuna vitu tulifanya, so umeandika for what ndio maana mimi I don’t talk about kwa maana kuna watu hawataki nikiwaongelea,” amesema Chin Bees.

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents