BurudaniVideos

Chin Bees ashoot video ya kwanza ‘Pepeta’ akiwa chini ya usimamizi wa Wanene Ent (Video)

Rapper wa Arusha, Chin Bees kwa sasa ni mwanafamilia rasmi wa label ya Wanene Entertainment.

https://www.youtube.com/watch?v=hraLA4cL4ys

Rapper huyo anayefahamika kwa uwezo wake katika utunzi wa viitikio Jumamosi hii alikuwa anashoot video ya wimbo wake mpya, Pepeta katika studio za Wanene zilizopo Mwenge jijini Dar es Salaam.

Ameiambia Bongo5 kuwa wimbo huo utakuwa kwenye album yake itakayotoka mwaka huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents