Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Chioma aanza kupata shavu kupitia show yake ya mapishi, Davido atumika

Chioma anazidi kulitumia jina la Davido vizuri – Tena msanii huyo amekuwa bega kwa bega na mpenzi wake huyo kwa kila jamabo.

Mrembo huyo ambaye anakaribia kuja na show yake ya mapishi kupitia runinga ambapo Jumanne hii amefanikiwa kupata dili la mdhamini wa kipindi hicho ambaye ni Dunes.

Lakini kubwa zaidi Davido ameendelea kumshika mkono mpenzi wake huyo tena Chioma kupitia mtandao wa Instagram, amemtaja Davido kuwa ndio meneja wake baada ya kuonekana akisaini makaratasi ya mkataba huo japo Davido mwenyewe amekikataa cheo hiko.

“THE CHEF CHI COOKING SHOW IS COMING!! AAAHHHH IM TO GASSED!!! 👨‍🍳 p.s Shout out my Manager 😍🤣,” ameandika Chioma.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW