Burudani

Chipukizi anayetabiriwa kuja kuwafunika Vanessa Mdee na Maua Sama (+Video)

By  | 

Frankie Maston ni msanii mpya kwenye muziki wa Bongo Flava, ambaye anatabiriwa kufika mbali kwa kuwafunika mastaa wengi akiwemo Vanessa Mdee na Maua Sama kutokana na kipaji chake pamoja na sauti yake nzuri ya kuimbia. Lakini pia muimbaji huyo anajihusisha na tasnia ya ubunifu wa mavazi akiwa tayari ameshawavalisha mastaa kibao akiwemo Jokate, Nay Wamitego na wengine.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments