Burudani

CHOMBO KWA HEWA: Wasafi FM yaanza kusisikika Dar Es Salaam, ni muziki kwenda mbele

Kama upo Dar Es Salaam na ume-Tune Frequency za 88.9 FM na unasikiliza mixing za hatari basi jua kuwa hiyo ni redio mpya hapa mjini ya Wasafi FM.

Hata hivyo, ishu imesanukiwa na wadau tu, kwani Mkurugenzi mwenyewe Diamond Platnumz hajazungumza chochote kuhusu mitambo hiyo kuwashwa.

Mwanzoni mwa mwezi huu, Diamond ali-tweet kwa kuandika “Naombeni ruksa niwashe Wasafi FM“.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents