Aisee DSTV!
SwahiliFix

Chris Brown afuata nyayo za French Montana, awatumia watoto maarufu Uganda kwenye video ya wimbo wake mpya (+VIDEO)

Msanii wa muziki kutoka Marekani, Chris Brown ameonekana alikoshwa sana na wimbo wa Unforgettable wa French Montana ambapo kwenye video ya wimbo huo, Montana aliwatumia watoto kutoka Uganda maarufu kwa jina la Ghetto Kids, jambo ambalo liliufanya wimbo huo kupata umaarufu zaidi duniani mwaka 2017.

Awamu hii Chris Brown naye ameamua kuwatumia watoto hao kwenye video ya wimbo wake wa ‘BACK TO LOVE’, watoto hao wenye uwezo mkubwa wa kucheza muziki, Masaka Kids wameonekana kwenye video hiyo karibia mara 10.

Tazama kichupa hicho hapa chini;

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW