Burudani

Chris Brown atoa zawadi ya Christmas

Chris Brown ametoa zawadi nyingine ya msimu huu wa sikukuu ya Christmas na Mwaka Mpya kwa kuachaia albamu yake ya
‘HeartBreak On A Full Moon: Deluxe Edition: Cuffing Season -12 Days Of Christmas’.

Ikiwa ni wiki chache tu! toka aachia albamu yake ya ‘HeartBreak On A Full Moon’ iliyokuwa na ngoma zaidi ya 40. Albamu hii ambayo inataoka sasa ina jumla ya ngoma 12 na ametumia ukurasa wake wa Twitter kuwajulisha mashabiki zake kuhusua albamu hiyo itakayopatikana kwa mfumo wa kidigitali.

Moja ya mtu atayayesikika katika albamu hiyo ni mwanadada AgnezzMo anayedhaniwa kuwa ni mpenzi mpya wa CB, mrembo huyo atasikika ngoma ya ‘On Purpose’.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents