Burudani

Chris Brown kuhusu Rihanna: ‘We are really happy, we are back together’

Chris Brown ameamua kuelezea mapenzi yake mazito kwa mpenzi wake Rihanna. Tangu warudiane, Chris haoni tena haya kuzungumzia jinsi anavyompenda mpenzi wake huyo.

Chris+Brown+Celebs+21st+Annual+Elton+John+HfdWLEWwDYBl

Akiongea na gazeti la NY Post Chris alisema:

“We are really happy. We are back together. She is the most beautiful girl in the world. But I’m sad she couldn’t be here tonight; she is rehearsing for her tour.”
Chris+Brown+55th+Annual+GRAMMY+Awards+Backstage+x1N0ZGcBPiCl

Katika hatua nyingine akiongea na gazeti la Mirror la Uingereza, Chris Brown alisema kitendo cha kumpiga Rihanna mwaka 2009 ni kosa kubwa analolijutia katika maisha yake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents