Burudani
Christian Bella awaka kisa Mobetto kukosolewa: Ni wivu tu (Video)
Msanii wa muziki, Christian Bella amefunguka kuuzungumzia namna alivyokutana na mwanamitindo Hamisa Mobetto na kufikia hatua ya kuanza kufanya muziki wakiwa pamoja.