Christian Bella kuachia albamu mpya, kuachia ngoma 5 kuonjesha uhondo (Video)

Mkali wa masauti @bellachristian1 ametangaza ujio wa albamu yake mpya ambapo kila siku kuanzia leo aachia video na wimbo mpaka siku ya uzinduzi. Katika hatua nyingine amesema licha ya ukimya wake lakini yeye ni msanii kati ya wasanii watato wa Tanzania ambayo wanakubalika na kufanya show nyingi.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW