Burudani
Cindy Rulz ajumuishwa kwenye orodha moja na Nicki Minaj, Charli Baltimore, Da Brat, Eve na wengine
Mtandao wa Marekani wa praverb.net umetoa orodha ya rappers wa kike wakali duniani iliyopewa jina la The Ultimate Female Emcee List. Kwenye orodha hiyo rapper Cindy Rulz amekuwa msanii pekee wa Afrika Mashariki (kama si Afrika nzima) kujumuishwa.
Bofya hapa kuona orodha nzima.