AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Cloud 112 asumbuliwa na presha

Cloud

mwigizaji mkongwe wa filamu nchini Issa Mussa maarufu kama Cloude 112, amesema kwa sasa anasumbuliwa kidogo na presha kwa muda wa wiki moja sasa. hivyo anategemea hari yake kuwa nzuri siku mbili tatu zijazo baada ya kutumia dozi.

mwigizaji huyo amesema katika mwaka mpya anawashauri wasanii waweze kuolewa na wengine kuoa ili kutunza heshima ya kazi zao, pia amesema anatarajia kuachia filamu zake mbili ikiwa Jeraha la Moyo na Triple L ambazo anaamini zitafanya vizuri zaidi katika mwaka 2012.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW