Bongo Movie

Cloud 112 azindua gari la kampuni

Cloud_face

Baada ya wasanii Ray na Kanumba kuja na magari yao kwaajiri ya kusambaza wasanii na vyombo vya shooting kwaajiri ya filamu, sasa Cloud 112 kama anavyojiita kwa sasa,  naye kaamua kuja na gari lake kwaajiri ya kazi kama hiyo.

 

Cloud anasema kwa sasa yupo na mkewe katika kumalisha filamu zake mwenyewe, huku akiwa kama Mc katika shughuli mbalimbali ambayo atakodiwa . Aidha amedai kwamba kwa sasa mwandishi mkubwa wa filamu zake, mkewe Cynthia .

Cloud_gari

Amesema kwa sasa kampuni yake, inatarajia kuachia filamu mpya itakayokwenda kwa jina la MALUMBANO. Anasema kampuni yake ya CY & CL , itakuwa inashulika na mambo mbalimbali yanayohusiana na filamu.

Cloud

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents