Burudani

Clouds FM yataja orodha ya wasanii watakaotumbuiza kwenye Fiesta – Kigoma

Clouds FM wametangaza orodha ya wasanii watakaotumbuiza kwenye show ya kwanza ya Fiesta mwaka 2013 itakayozinduliwa Jumamosi, August 17 mjini Kigoma.

8818atKigoma

Wasanii waliotajwa kutumbuiza ni pamoja na Cassim Mganga, AY, TID, Barbaba, Mwana FA, Young Killa na Godzilla.

Wengine ni Neyle, Stamina, Shetta, Amini, Chege na Temba, Recho, Linex, Madee, Peter Msechu, Weusi, Baba Levo na Makomandoo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents