Tupo Nawe

Clouds wazindua Shindano la East Africa’s Got Talent, Kusaga aeleza alivyohangaika kwa miaka 4 (Video)

Clouds Media Group (CMG) imeendelea kutembelea mstari wake wa ‘tunakufungulia dunia, kuwa unachotaka’ ambapo Mkurugenzi wake, Joseph Kusaga ametangaza ujio wa Shindano la East Africa’s Got Talent (EAGT) ambalo litahusisha msako wa vipaji mbalimbali na sio uimbaji peke yake.

Naye mgeni rasmi, Waziri Mwakyembe alisema “Niwapongeze Clouds kwa kuwa mstari wa mbele kwenye ubunifu na uthubutu, hiki ni kitu ambacho tulikikosa kwa muda mrefu sana…Nilidhani watu wengine ndio wameleta, kumbe wao ni wadhamini tu. Niseme tena Clouds kwa mara nyingine tena mmetutoa kimasomaso…mtaona nitakavyotamba Bungeni” Waziri Mwakyembe.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW