Burudani

Club ya 40/40 ya Jay Z yatengeneza zaidi ya milioni 25 kwa siku


Bossi wa Roc-Nation na Club 40/40, Baba Blue Ivy, mzee mzima Jay Z anasadikika kutengeneza mahela ya ukweli kila anapoamka.
Kampuni ya Forbes ya marekani inayojihusisha na kujua uwezo wa kifedha wa matajiri duniani wamesema kwamba, ukiachana na kazi zake za kimuziki na timu yake ya Basketball, Biashara yake ya Club inamtengenezea zaidi ya dola elfu kumi na nne kwa usiku mmoja.

Muonekano wa CLUB 40/40 ndani
Club hiyo ambayo imefanyiwa matengenezo hivi karibuni, inasemekean kuwepo na vyumba vya VIP ambavyo vinacosti dola 2000 kwa siku moja ambazo ni takriban milioni tatu na nusu za Bongo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents