Habari

Coast 2 Coast ya Zola D Benja na Ukoo fulani

Zola_D_Akiingia_na_Benja_mini
Video ya wimbo wa mwanamuziki na mwanamasumbwii Zola D pamoja na  Benjamini wa Coast 2 Coast ambao unafanya vizuri sana huko Kwnya. Katika wimbo huo Zola D pamoja na Benjamini wa Mambo jambo, wamewashirikisha wasanii kutoka Kenya.

Richie Rich anayeishi Marekani lakini kazi zake za muziki anafanya pamoja na kundi la ukoo Fulani pale Kenya, na Sharama  ambaye kwa pamoja wakaja na wimbo huo wa Coast 2 Coast.  Alisema wimbo huo ni kuonyesha ushirikianao wao kwa kuvuka boda na kuupeleka muziki wa kizazi kipya katika Next Level,.

Coast 2 Coast

{hwdvideoshare}id=1612|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

Zola D-Hustler King

{hwdvideoshare}id=1613|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

 

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents