Burudani

Coca Cola yaandaa tamasha la bure la muziki Jumapili

Kampuni ya vinywaji baridi Coca cola Tanzania inatarajiwa kufanya tamasha la bure la burudani siku ya jumapili hii ya tarehe 17, katika viwanja vya Coco Beach, jijini Dar-es-Salaam.

page

Kwa mujibu wa waandaaji wa tamasha hilo ambao ni kampuni ya Coca Cola tamasha hilo litaanza kuanzia majira ya saa 6 mchana na halitakuwa na kiingilio. Burudani ambayo imethibitishwa ni pamoja na msanii Ommy Dimpoz, Joh Makini, Linnah, Wanaume TMK, Dj Zero na kundi la Swat Team.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents