Burudani

Collabo ya AY na Sean Kingston yakamilika, kesho kumfikia mikononi mwake

Ile ya collabo ya AY na Sean Kingston iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu hatimaye imekamilika.

Taarifa hiyo imetolewa leo kupitia Twitter na promoter wa kimataifa Hemdee Kiwanuka ambaye kampuni yake ya networkshowbizz husimamia kazi za AY.


Msanii wa nchini Uingereza Ms Triniti ambaye alishawahi kufanya collabo na AY, ataonekana kwenye video ya ngoma ingawa hajashirikishwa kama inavyoonekana kwenye tweets hizi:

Tunasubiri ujio mpya wa AY akiwa amemshirikisha mwanamuziki wa kimataifa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents