Burudani

Collabo ya Nazizi na Shaa inakuja!

Malkia wa dancehall nchini Kenya, Nazizi na malkia wa Uswazi, Shaa wanatarajia kuja na collabo.

11055755_1449047475386735_416112246_n

Taarifa hiyo njema imetolewa hivi karibuni na Nazizi kupitia Instagram.

!I n the beautiful @shaa_tz on #maishasuperstar watch out fr our colabo,” aliandika Nazizi kwenye Instagram.

Wawili hao wamekuwa karibu hivi karibuni kupitia kipindi cha Maisha Superstar ambapo Shaa na mentor na Nazizi ni jaji.

Tayari Shaa ana collabo na msanii wa dancehall wa Kenya, Redsan iitwayo Njoo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents