Makala

Comedian Idris Sultan refreshes ‘Sio Habari’

Comedian Idris Sultan is making a comeback on his show Sio Habari! Sio Habari is going to be aired on Azam Tv. The last time I watched it, I can guarantee that the content was definitive especially for the youth. He posted on his instagram, ”Nakumbuka wakati SIO HABARI ni show ndogo tu. Nilipoanza lengo kuu ilikuwa kujaribu kusema mambo makubwa na mazito ambayo wengi wanayajua, wanayasikia na labda hawataki kuyaongelea au wanaogopa. Haya mazito tuliyadadavua katika lugha nyepesi na ya kufurahisha na ujumbe ulifika. 

Show ilikaa mwezi tu kwenye TV nikaikatisha kwasababu niligundua ni kubwa kuliko nilivyoichora na ilibidi nifanye hivyo ili isianguke. Ilikua ni show nimelenga vijana tu ila kila jumatatu zilikaa familia kuangalia SIO HABARI. Wakubwa kwa wadogo. Haya niliyajua kwenye malalamiko baadhi ya watu wakisema samahani Idris punguza makali ya maneno tunaangalia na wazazi wetu “mnaogopa wazazi wataharibika au ?” Nilisema ila nikagundua nini kimesemwa bila wao kujua.This is not just a show anymore, hii ni sauti ya wengi wasioweza, ni kitu kimoja chenye ukweli mwingi kinachounganisha familia nzima na kumsikiliza mpuuzi mmoja anayetoa la moyoni. Wengi hamkushtukia show iliruka kwa mwezi mmoja tu.I’m proud to say SIO HABARI inarudi, wayyyyyy bigger than it ever was. Ilikuwa ndoto ikawa idea ikawa jaribio na sasa itakuwa a revolution kwenye ufunguaji wa fikra kwa kutumia lugha nyepesi tu “COMEDY”.. Vicheko itakuwa ni “Hahaha ila ni kweli”.. Soon on AZAM TV #iRefuseToStop #MakingOfALegend na bila kusahau @coy_mzungu WE DID IT MAN”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents