Videos

Concert ya mkali wa Facebook…DJ Cleo weekend hii Bongo


DJ Cleo kutoka South Africa anatarajia kufika Bongo kwa kupiga show siku ya Jumamosi ya tarehe 10 mwezi huu, show itafanyika katika Viwanja vya Posta Kijitonyama na inasemekana kiingilio kitakuwa shilling elfu 10. Wasanii wakibongo watakaosindikiza show hii ni pamoja na Suma Lee, Ommy Dimpozi, Dully Sykes, Chege & Temba, Juma Nature, Tip Top Connection, Linex na wengine kibao.

[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=JuiFJWEIpIo[/youtube]

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents