Confirmed: Rick Ross ataperform Fiesta ya Dar es Salaam

It’s confirmed kuwa the big boss wa Maybach Music Group, Rick Ross ndiye atakayetua kwenye Fiesta ya Dar es Salaam.

Taarifa hizo zimetolewa live muda mfupi uliopita kupitia Clouds FM. Rick Ross atatua Bongo kwaajili ya show hiyo itakayofanyika October 6.

Tayari rapper huyo amesharekodi sauti yake inayosema kuwa tayari ni official kuwa atatua Tanzania kwaajili ya show hiyo kubwa ya mwaka.

Hivi karibuni Rick Rosss alikuwa nchini Nigeria hivyo tayari ni mwenyeji wa bara la Africa.

Are you ready for the ‘Teflon Don’?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents