Michezo

Conte bado yupo yupo sana Chelsea

Kocha wa klabu ya soka ya Chelsea, Antonio Conte amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuifundisha timu hiyo.

Conte ameongeza mkataba wa miaka miwili ambao utamfanya aifundishe timu hiyo mpaka mwaka 2021.

Awali mkataba huo ulitakiwa kumalizika mwaka 2019 na atakuwa akipokea paundi milioni 9.6 kwa mwaka.

Kwa sasa kocha huyu yupo na Chelsea kwenye ziara ya michezo ya kujiandaa kwa msimu ujao nchini China.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents