Habari

Corona Tanzania: Kesi za COVID-19 zafikia jumla 24

Wizara ya Afya imethibitisha ongezeko la wagonjwa wengine wanne wa corona kutoka Dar es Salaam, Mwanza na Zanzibar na kufanya kuwepo kwa jumla ya kesi 24 tangu kuaza kwa ugonjwa huu hapa nchini.
Wagonjwa hawa ni pamoja na wagonjwa wawili waliotolewa taarifa na Wizara ya Afya Zanzibar.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents