Burudani

Country Boy kuvunja rekodi ya ‘Turn Up’ (+video)

Msanii wa muziki Bongo, Country Boy amefunguka mafanikio ya ngoma yake ‘Turn Up’ na kusema kuna ngoma nyingine kubwa inakuja kuliko hiyo.

Ngoma hiyo ambayo Country Boy amemshirikisha Mwana FA, amesema tangu walipoitoa kuna malengo waliyojiwekea na sasa wameyafikia.

“Na tunakuja kutoa kazi kubwa sana, believe me, tunakuja kutoa kazi kazi kubwa sana yenye kiwango cha juu sana” Country Boy ameiambia Bongo5.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents