Michezo

Coutinho ataanza mchezo wa Jumamosi – Jurgen Klopp

Meneja wa klabu ya Liverpool,Jurgen Klopp amethibitisha kuwa mchezaji wake raia wa Brazili, Philippe Coutinho ataanza katika kikosi kitakachocheza dhidi ya Burnley siku ya Jumamosi.


Countinho mwenye umri wa miaka 25, anatarajiwa kuanza katika mchezo huo kwa mara ya kwanza tangu mipango yake ya kuachana na Liverpool na kujiunga na Barcelona kushindikana.

Klopp amesema kuwa mchezaji huyo anapaswa kuwa tayari kwa mchezo huo kwakuwa wanafikiria kumuanzisha.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents