Burudani

COVID-19: Wasanii waomba kupewa pesa zao zinazotokana na nyimbo zao kuchezwa kwenye redio na runinga (Video)

Katibu Mkuu wa Chama cha Muziki wa Kizazi Kipya (Tuma) Brighton amesema kutokana na hali mbaya ya uchumi wa wasanii uliosababishwa na janga la corona, wasanii walianza kujadili namna ambavyo watapewa pesa zao zinazokusanywa na COSOTA kutoka kwenye makusanyo ya nyimbo za wasanii zinazopigwa kwenye redio ya TV.

Ameyasema hayo leo katika mkutano ulioandaliwa na Viongozi wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), kujadili namna gani ya kufanya shughuli za Sanaa katika kipindi hiki ambacho dunia inapitia kipindi kigumu cha ugonjwa hatari wa Corona.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents