Cowell aitosa American idol

Image
Mmoja wa majaji aliyeleta mafanikio kwenye mashindano ya kusaka vipaji ya American idol, simon cowell, ataondoka na kujiunga na mashindano aliyoanzisha mwenyewe ya X factor nchini Uingereza. Msimu huu utakuwa wa mwisho kwa Cowell ambaye inasemekana anabadilisha mazingira kusaka maslahi zaidi ingawa awali alikuwa anatengeneza zaidi ya Dola milioni 36 kwa mwaka

American Idol ndiyo iliyowatoa wasanii kama Rubben studdard, Fantasia na Kelly Clarkson

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents