Burudani

Cpwaa awashirikisha Godzilla, Lord Eyez, One na Mabeste

Msanii aliyetajwa kuwania tuzo za Channel O za mwaka huu, Cpwaa anajiandaa kuachia collao aliyowashirikisha wachanaji hatari kwenye Hip Hop ya Tanzania wakiwemo Godzilla, One The Incredible, Lord Eyez, Mabeste na The Artist.

Wakati huo huo huo rapper huyo ambaye jina lake halisi ni Khalfan Ilunga atazindua website yake mpya wiki ijayo.

“What’s good beautiful people…Have a lovely weekend and keep those fingers busy for Voting..Next week am launching my new website! The second website! So stay excited….PWAAA,”ameandika Ilunga.

Kumpigia kura Cpwaa kwenye Channel O Music Video Awards 2012 andika 5F kwenda +27839208406.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents