Burudani

Cpwaa: I’m about to kiss Bongo Flava goodbye

Rapper aliyewahi kutajwa kuwania tuzo za Channel O, Ilunga Khalifa aka Cpwaa The Supreme amekuwa kimya tangu aliporejea kwenye tuzo hizo za mwaka jana lakini ukimya huo una maana kubwa.

cpwaa3

Kutokana na posts mbalimbali anazoziandika kwenye Facebook na Twitter, crunk master huyo anaonesha atakuwa chini ya menejimenti mpya itakayosimamia kazi zake. Akiwa chini ya menejimenti hiyo mpya, Cpwaa anadai ataiiaga rasmi Bongo Flava na kuanza kudondosha ngoma kwaajili ya mashabiki wake wa crunk.

“So am about to kiss Bongoflava goodbye in the next few months, before the new management Chain me to some serious shiit…I wanna do it once more for the street and my crunk fans,,#TrapMusic….If u got some beats inbox me,” ameandika.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents