Burudani

Crazy In Love: Jay-Z amuonesha mapenzi ya dhati mkewe Beyonce kwenye stage wakati wakitumbuiza

Couple ya Rais wa Roc Nation Jay Z na mwimbaji wa R&B Beyonce ni miongoni mwa couples zinazoaminika kwa kuweka mambo yao ya maisha binafsi mbali na macho na masikio ya umma, na ndio sababu tukio kama alilolifanya Jay-Z kwa mkewe kwenye stage limekuwa-surprise kwa watu wengi.

Jay-Z-Kisses-Beyonce

Jumamosi iliyopita (June 1) Beyonce alikuwa akitumbuiza jijini London, Uingereza katika concert ya “Chime For Change”, na baada ya kuperform nyimbo kadhaa hatimaye “Crazy in Love” ndio wimbo ambao ulimpandisha Jay jukwaani kuungana na Queen Bey ambaye alimshirikisha katika wimbo huo uliotoka rasmi mwaka 2003.

Baada ya Jigga kupanda jukwaani aliamua kuonyesha ‘mahaba’ kwa mkewe kwa kumkiss mbele ya camera za waandishi na mashabiki ambao walikuwa ‘on fire’ wakishangilia kwa nguvu zote, na Beyonce alionekana kuwa na tabasamu lililoashiria alichokuwa anafeel ndani ya moyo wake, si unajua how powerful love is!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents