Michezo

Cristiano Ronaldo aifikia rekodi ya Raul, Real ikishinda 2-0

Mwanasoka Cristiano Ronaldo amefikia rekodi ya mabao ya Raul katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, baada ya kuifungia mabao yote, Real Madrid ikishinda 2-0 ugenini dhidi ya Malmo FF dakika ya 29 na 90 Uwanja wa Swedbank mchezo wa Kundi A.

index.php

Ronaldo anakuwa amefikisha mabao 82 katika mechi za Ligi ya Mabingwa na mabao 501 jumla tangu aanze kucheza soka pamoja na kumfikia kwa mabao gwiji wa Real, Raul aliyekuwa anaongoza kuifungia mabao mengi klabu hiyo.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents