Michezo

Cristiano Ronaldo aondoka kwa hasira katika chumba cha mahojiano akerwa na swali

Nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo aliondoka kwa hasira katika chumba cha mahojiano baada ya kuulizwa juu ya rekodi ya ufungaji magoli katika mechi za ugenini msimu huu.

314AC36A00000578-3449732-image-a-24_1455650281932

Ronaldo mwenye 31, amefunga magoli 32 msimu huu lakini hajafunga nje tangu mwezi Novemba alijibu hivi

“Nani mwingine amefunga magoli mengi ugenini kuliko mimi tangu nimekuja Hispania? Aliuliza Ronaldo mfungaji namba moja wa Championzi Ligi”Taja mchezaji mmoja ambaye amefunga kuliko mimi. Hakuna jibu? Sawa. Asante” Akaondoka.

Ronaldo alikuwa akiongea na wanahabari kabla ya mechi ya Jumatano ya Real Madrid dhidi ya Roma katika Stadio Olimpico Mwezi Disemba, mreno huyo alikuwa ndo mchezaji wa kwanza kufunga magoli 10 katika mchuano wa makundi.

Goli lake la 11 ni la ugenini lakini hajafunga katika mechi nne za ugenini.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents