Michezo

Cristiano Ronaldo, Lionel Messi nani kuibuka na tuzo ya mwanasokai bora wa FIFA 2017 ?

Shirikisho la soka duniani FIFA limetaja wachezaji 23 wakiume na 10 wakike kuwania nafasi ya mchezaji bora wa FIFA ambapo huchaguliwa na Makocha wa timu za taifa, Manahodha, Vyombo vya habari na Mashabiki wakati kura zinatarajia kuanza kupigwa Jumatatu ya Agosti 21 na kufungwa tarehe 7 ya mwezi Septemba.

Hawa ndiyo wachezaji 23 waliotajwa kuwania tuzo ya Mwanasoka Bora wa FIFA 2017 kwa upande wa wanaume.

Hawa ndiyo wachezaji 10 waliotajwa kuwania tuzo ya Mwanasoka Bora wa FIFA 2017 kwa upande wa wanawake.

B y Hamza Fumo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents