Habari

CUF baada ya kutoka kusikiliza kesi yao wadai Maalim Seif ni muongo kisa? (+video)

CUF inayotambuliwa na Msajili wa Vyama vya siasi nchini baada ya kutoka kusikiliza kesi yao inayoendeshwa katika Mahakama Kuu, Wamefunguka dhidi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho, Maalim Seif.

Akizungumza nje ya Mahakama Katibu Bodi ya Wadhamini CUF,Thomas Malima, amesema kuwa Maalim Seif ni muongo amesema Bodi ya wadhamini CUF ilisajiliwa 2014 na si 2012.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents