Habari

CUF yaipongeza serikali kwa jambo hili (+video)

Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba ameipongeza serikali kwa kukusanya mapato na kutekeleza miradi mikubwa ikiwemo kujenga reli ya kisasa (SGR) na kufua umeme kwenye maporomoko ya maji, striegler’s Gorge .

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Makao makuu ya Chama hicho, Prof.Lipumba ameipongeza pia
serikali kwa kuhamasisha ujenzi wa viwanda nchini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents