Burudani ya Michezo Live

Cyprian Musiba akutwa na majanga kwenye uchaguzi Yanga, Akimbia usaili dakika za mwisho (+video)

Mwanaharakati na Mmiliki wa gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba jina lake halijapitishwa kwenye orodha ya majina ya wajumbe wa kamati ya Utendaji wa klabu hiyo waliojitokeza kuwania nafasi hiyo kwenye usaili uliofanyika kati ya Aprili 14-17, 2019.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Yanga, Cyprian Musiba alishindwa kufanya usaili na jina lake limefyekelewa mbali katika matokeo ya usaili wa uchaguzi huo.

Ni majina ya watu 7 pekee ndio waliofanikiwa kupitishwa kati ya majina 13 walioomba nafasi hiyo.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW