Muziki

Cyril Kamikaze akata ukimya, aachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la “Private” (+ Audio)

Cyril Kamikaze akata ukimya, aachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la "Private" (+ Audio)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya wa mtindo wa kufoka rap Cyril Kamikaze  ameachia audio ya wimbo wake mpya unaoitwa “Private” wimbo huo umefanywa na producer  CYRILL KAMIKAZE ambaye ndio mwenye wimbo lakini akiufanyia katika studio ya  Tongwe records.

https://www.youtube.com/watch?v=Tfw4tZKgtzo

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents