Dakika 4 za mahojiano na aliyeingia na paka mweusi uwanjani, Platinum ikifa 4 – 0 mbele ya Simba (+Video)

Moja kati ya matukio ambayo yalivutia watazamaji na kuzua gumzo kwenye mitandao ya kijami katika mchezo wa Simba SC dhidi ya FC Platinum ambao ulimalizika kwa Mnyama kushinda jumla ya magoli 4 – 0 ni kuingia uwanjani kwa mtu mmoja aliyehusishwa na imani za kishirikina akiwa na paka mweusi, akivalia matambaa meupe na rangi nyekundu na nyeusi akiwa amekwenda kwenye goli la FC Platinum kisha kudakwa na walinzi waliyokuwepo uwanjani hapo.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW