Burudani

Damian Soul: Ntakuwa mwanamuziki wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kushinda tuzo ya Grammy (Audio)

Damian Soul ni msanii mwenye ndoto kubwa. Muimbaji huyo wa ‘Ni Penzi’ ameiambia BBC World Service kuwa atakuwa mwanamuziki wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kushinda tuzo ya Grammy.

10852963_884828518228888_896324641_n

“Nina matarajio makubwa sana,” amesema Damian kwenye interview hiyo iliyofanywa na mtangazaji wa BBC, Alan Kasujja aliyekuja jijini Dar es Salaam kumhoji.

“Nitakuwa mwanamuziki wa kwanza wa Afrika Mashariki kushinda Grammy na ninamaanisha, hakuna kinachoshindikana, vitu vyote vinawezekana, hakuna kikomo,” ameongeza.

Msikilize zaidi kwa kubofya hapa chini.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents