Burudani

DAMN ya Kendrick Lamar yavuka kiwango

Albamu ya DAMN kutoka kwa rapper Kendrick Lamar imefika katika kiwango cha Double Platnum na kufanya itamburike rasmi na Record Industry Association of America(RIAA).

Rapper huyo ametumia ukurasa wake  wa Instagram kuwajulisha mashabiki zake na wadau kuhusu mafanikio ya albamu hiyo kwa kuandika “These murals forever belong to my fans. You’ve always taken my words above and beyond. Around the world and back again. With trust. I am forever grateful. 2x.”

DAMN ilitoka mwezi wa nne mwaka huu na ikiwa na jumla ya ngoma 14.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents