Habari

Dar usafi bado ziro

kariakoo_taka_taka_face
Katika suala la wilaya mbali mbali kuanzisha mikakati ya kuliweka jiji safi la Dae es salaam katika hali ya usafi, kila siku linagonga mwamba kutokana na hali ya jiji kuzalishwa takataka nyingi huku zikikosa sehemu maalum za kuzihifadhi takataka hizo.

 

 

Miongoni mwa sehemu ambazo zimekuwa kero kutokana na uchafu kuwa mwingi kuanzia kwenye mitalo hadi maeneo mengine ya wazi ni Kariako, na ndiyo miongoni mwa sehemu zinazotembelewa na wageni wengi. sijui tunawaonyesha wageni nini kuhusiana na hali hiyo ya kuanika takataka mbele ya maduka makubwa ya wafanya biashara, wadogo wadogo na wakubwa.

Hii ni sehemu ambayo abilia mbalimba hugoja magari, na ndipo takataka zimekuja zikiweekwa papo hapo huku zikitoa harufu mbaya, wakati zikisubiri usafiri.

kariakoo_taka_taka

Kweli usafi kwetu tutaendelea kuusikia kwenye maredio na wala si vitendo, na hatiujifunzi mpaka magonjwa ya mlipuko yatokee kama vile kipindupindu

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents