Habari

Dar zaingia pedi ambazo pia wanaume watatakiwa kuzitumia (Video)

Pedi hizo za aina yake zimeingia nchini kupitia kampuni ya Longrich na watumiaji wakuu ni akina mama ambao wanakwenda siku zao za hedhi pamoja na kupata matatizo mbalimbali ya uzazi pamoja na wanaume ambao wanasumbuliwa na tezi na watazivaa kama wanavyozivaa wanawake na nguo zao za ndani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents