Habari

Daraja la Ubungo maziwa

Daraja_face

Daraja linalounganganisha Ubungo Maziwa hadi kutokea barabara ya Mandera maeneo ya External kila siku linazidi kuisha na kumong’nyoka. Watu wa chuma cha kavu nao wanaokota vyuma ambavyo vinakatika kutoka kwenye daraja hilo, ambalo ni



kiungo muhimu kwa wenye usafiri mpaka watembea kwa miguu.  Lakini ndiyo hivyo kwa chini kumegeuzwa dampo la kutupia takataka, huku juu likijiishia polepole na kutoa ajira kwa waokotaji wa chuma chakavu.

daraja_chuma

Moja ya upambe wa daraja hilo, hapo chini ambapo wakazi wanazidi kutupa takataka

daraja_mtaani

Na haya ndiyo makazi yanayozunguka eneo hilo.

By Mo

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents