Tia Kitu. Pata Vituuz!

Daraja lingine hatarini kubomolewa na maji Morogoro, Waziri aingilia kati na kuongea haya – Video

Daraja lingine hatarini kubomolewa na maji Morogoro, Waziri aingilia kati na kuongea haya - Video

Mawasiliano kati ya wilaya ya Kilosa na Kilombero yapo hatarini kukatika kufuatia maji kujaa na kuanza kumega kingo za daraja la Ruaha linalotenganisha Wilaya hizo baada ya shirika la Umeme kufungulia maji ambayo yamejaa katika bwawa lankufua umeme la Kidatu.

By Ally Juma.

 

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW