Burudani

Darasa ajitokeza baada ya kimya cha muda mrefu, Baadhi ya mastaa wafurahishwa na ujio wake (+Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, ambaye pia alitamba na kibao cha ‘Maisha na muziki Darasa ameonekana baada ya kimya cha muda mrefu. Msanii huyo ambaye alitamba na kibao cha ‘Maisha na muziki’ ameamua kurudi kivingine baada ya kufuta kila kitu kilichokuwepo kwenye akaunti yake ya Instagram na kupost clip moja tu ikionyesha akishuka kwenye gari la zima moto huku akisalimiana na wahudumu wa gari hilo.

Watu wengi hasa mashabiki zake waliamini msanii huyu ndio basi tena kwenye tasnia ya muziki baada ya kimya cha muda mrefu hadi kufikia hatu watu wengine kusema kuwa msanii huyo anajihusisha na madawa ya kulevya.

Kupitia Post hiyo Darasa ameandika hiki:-

Baadhi ya mastaa akiwemo Dogo Janja ameandika hiki kwenye ukurasa wake wa Instagram:-

By Ally Juma.

 

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents