Tia Kitu. Pata Vituuz!

Darasa atangaza vita mchana wa leo baada ya hii ngoma ‘Wanaulizana kapagawa na nini, sina ujanja wa kukikimbia kivuli changu’ (+audio)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, ambaye pia alitamba na kibao chake cha ‘Maisha na muziki’, Darasa ameachia audio wa wimbo wake mpya baada ya kimya cha muda mrefu.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram msanii huyo ameandika ujumbe kuwa ananyimbo mbili ambazo anatarajia kuzitoa kwa mashabiki zake kipindi hiki cha sikukuu za mwaka mpya.

The waiting is over! Hapa leo kuna zawadi mbili kwa watu wangu msimu huu wa skukuu! Wote tuna jua utaratibu duniani kote LADIES FIRST so Naweka hii kwanza…… MCHANA TUNE YOUR FAVORITE STATION | YOUR FAVORITE CHANNEL 9:00
Kwa sasa link on my bio

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW