Burudani ya Michezo Live

DARUSO watoa siku moja kwa wauza vyakula UDSM wapunguze bei

Jumuiya ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) imetoa siku moja kwa watoa huduma za vyakula kupunguza bei za vyakula zilizopandishwa kiholela.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jana na jumuiya hiyo, Imeeleza kuwa vyakula vilivyopanda bei ni wali maharage na chips.

DARUSO wamesema endapo watoa huduma hao watakaidi agizo lao, ustaarabu mwingine utatumika.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW